RAIS JPM AWASILI UGANDA, AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MUSEVENI

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewasili nchini Uganda ambapo atahudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika siku ya Ijumaa tarehe 23 Februari, 2018 Mjini Kampala. Baada ya kuwasili amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.

Share:

No comments:

SIKILIZA JAMII FM

Blog Archive

IDADI YA WASOMAJI

HABARI ZA HIVI PUNDE

HABARI KUU WIKI HII

WAENDESHA BLOG

Contact Form



Recent post