DAR ES SALAAM
Mamlaka ya Hali ya Hewa
Tanzania -TMA- imetoa tahadhari ya vipindi vifupi vya mvua kubwa vinatarajiwa
kuwepo katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa,
Njombena Ruvuma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo,
Vipindi vifupi vya upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa
yanayozidi mita mbili vinatarajiwa katika maeneo ya mikoa ya Tanga. Dar es
salaam, Pwani, Lindi na Mtwara pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.
No comments:
Post a Comment