Francis Cheka apokelewa Kimila na wazee wa Kimakonde

Image may contain: 3 people, people standing, beard and outdoor
Francis Cheka aliyezaliwa na Francis Boniface Cheka mnamo Aprili 15, 1982  ni mshambuliaji wa taasisi ya Tanzania na sasa ni Champion ya Dunia ya Boxing Federation (WBF) Super Middleweight Champion.

Leo amepokelewa Kimila na wazee wa jadi/Kimakonde Mtwara Old Boma  na kuwekwa wakfu kabla ya pambano Lake la kuutetea Mkanda wake wa #UBO uzito wa kati na Bondia Bondia Bingwa wa Taifa la Phillipine.

Bingwa huyo anayetokea kwenye Kambi ya Manny Pacquiao chini ya kocha maarufu Duniani Dante Almarios . watachuanza vikalikatika Uwanja wa #Nangwanda Sijaona Mkoani #Mtwara, usiku wa pasaka tarehe 01 mwezi 04 mwaka 2018.

#Cheka ahaaidi kumsulubu Mfilipino huyo lleo mbele ya waandiahi wa habari mara baada ya kusimikwa na kupewa #baraka za #kimila

Image may contain: 3 people, people standing
Share:

No comments:

SIKILIZA JAMII FM

Blog Archive

IDADI YA WASOMAJI

HABARI ZA HIVI PUNDE

HABARI KUU WIKI HII

WAENDESHA BLOG

Contact Form



Recent post